Mshambuliaji Samuel Eto’o sasa unaweza kumfananisha na John Walker.
Kwamba ni mtu wa safari na anajiunga na timu moja baada ya nyingine karibu kila baada ya msimu mmoja au miwili.
Timu hiyo makao makuu yake ni mji wa Antalya, ule ambao Yanga iliwahi kuweka kambi miaka miwili iliyopita.
Kabla ya hapo alikuwa Barcelona ya Hispania, kabla ya Inter Milan ya Italia, Chelsea ya England na Everton ya England.
0 comments:
Post a Comment