Monday, June 1, 2015

Santos jana usiku wameshinda kombe la Mexican Clausura licha ya kufungwa 3-0 na Queretaro. 
 Santos wameshinda taji la Liga MX kwa ushindi wa jumla wa magoli 5-3, kwani mechi ya kwanza walishinda 5-0. Nyota wa zamani wa Brazil, Ronadinho alipiga mpira mkubwa na kujaribu kuikoa Queretaro na kuna wakati alifunga goli ambalo lilikataliwa na muamuzi kwa madai kuwa alichukua mpira mikononi mwa golikipa. 

Tazama goli la Ronaldinho lilikataliwa:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video