Saturday, June 6, 2015

Robin van Persie  leo amepigwa picha akiwa uwanja wa ndege wa Rome, Italia na kuamusha tetesi kuwa anajiandaa kujiunga na Lazio.
Vyombo vya habari nchini Italia vinaeleza kwamba Mshambuliaji huyo wa Uholanzi anataka kujiunga na timu hiyo kwa ada ya usajili ya Uero milioni 12-15.
Rais wa Lazio amekanusha kuhusishwa na taarifa hizo akidai kuwa ni 'takataka' kwake na kueleza kwamba labda RVP yupo kwenye mapumziko mjini humo.
Lakini kwa jinsi mambo yalivyomuendea Van Persie msimu huu katika klabu yake ya Manchester United, kuna dalili zote za kuhusika na dili la kutua Lazio.
Licha ya Mholanzi mwenzake, Van Gaal kutua Man United kuchukua mikoba ya kocha mkuu, Van Persie hakupata upendeleo wowote na ikafika wakata akatolewa hata kwenye kikosi cha kwanza mwishoni mwa msimu.
President Claudio Lotito denied Robin van Persie talks after he arrived in Rome. “It’s all rubbish!” http://www.football-italia.net/67438/lazio-deny-van-persie-move 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video