Iker Casillas (katikati) ameungana na wenzake (kutoka kushoto) Cristiano Ronaldo, Sergio Ramos, Karim Benzema na Marcelo kutambulisha jezi mpya licha ya kuhusishwa na mpango wa kutimka Bernabeu
Jezi mpya ya Real Madrid msimu wa 2015-16 ambayo imejaa rangi nyeupe na michirizi kidogo
Gareth Bale (katikati) ameungana na nyota wengine wa Real Madrid kuitambulisha jezi mpya
Ronaldo akiruka juu kupiga mpira (kutoka kushoto) James Rodriguez, Benzema, Ramos na Bale wakitazama
0 comments:
Post a Comment