PHIL NEVILLE APATA BONGE LA SHAVU VALENCIA Klabu ya Valencia ya Hispania imethibitisha kumteua mlinzi wa pembeni wa zamani wa Manchester United na England, Phil Neville kuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo.Tweet hii hapa chini: Valencia CF English ✔@valenciacf_en CLUB | Phil Neville joins #VCF coaching staff as assistant manager http://bit.ly/PhilN_VCF 6:22 PM - 28 Jun 2015 5353 Retweets 3636 favorites
0 comments:
Post a Comment