Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Donald Ngoma (kushoto) akiwa na beki wa kulia wa Ghana, Joseoph Tetteh Zutah baada ya wawili hao kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwa ajili ya kusaini mikataba ya kujiunga na Yanga SC.
Saturday, June 27, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment