Tuesday, June 30, 2015


SIMBA imempa mkataba wa miaka miwili kocha wa viungo kutoka Serbia, Dusan Mumcilovis atakayekuwa msaidizi wa Kocha Mkuu, Mwingereza Dylan Kerr.
Pamoja na mambo mengine, Mserbia huyo atakuwa na kazi maalum ya kuwajengea stamina wachezaji na kutokana na wasifu wake, wale wanaojiita ‘mafaza’ wa Simba wavivu wa mazoezi, watakiona cha moto.
Kutua kwa kocha huyo wa viungo, kumeongeza idadi ya makocha Simba ambapo kwa sasa wanakuwa wanne wakiongozwa na Kerr, huku wengine wakiwa ni mkufunzi wa makipa Mkenya Iddi Salimu na Seleiman Matola anayebaki kama kocha namba tatu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video