Sunday, June 28, 2015

Salehjembe ameripoti kwamba mshambuliaji Amour Omary 'Janja' amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea JKT katika Ligi Kuu Bara.


Katibu Mkuu wa JKT, Ramadhan Madoweka ndiye aliyesimamia zoezi hilo la usajili wa Janja.


Janja alikuwa mshambuliaji tegemeo wa JKU ambayo pia inamilikiwa na jeshi.



Mara baada ya kujiunga na timu hiyo anatarajia kujiunga na mafunzo ya kijeshi pamoja na mshambuliaji mwingine wa JKT, Samuel Kamuntu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video