Thursday, June 18, 2015

Wakati huu usajili unaendelea duniani, mashabiki wa timu mbalimbali huumia wanaposikia mchezaji wao anaondoka, na leo moja ya tetesi kubwa ni klabu ya Manchester City kuanzisha mpango wa kuiwania saini ya kiungo wa Arsenal, Jack Wilshere kwa dau la paundi milioni 30.
Ripoti hii inasema kwamba kama Liverpool wataendelea kuibania Manchester City kumnunua Raheem Sterling kwa ada ya paundi milioni 40, basi Manuel Pellegrini atatupa ndoana zake kwa Wilshere.
Mtangazaji wa Televisheni ya mashibiki wa Arsenal inayojulikana kwa jina la Arsenal Fan TV, Bwana Robbie amezua kituko baada ya kuamua kukanusha taarifa hiyo.
Robbie anaamini dau la paundi milioni 30 kwa Wilshere ni dharau kubwa na amesema habari hiyo ni sawa na takataka tu!

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video