Monday, June 29, 2015

Bondia Floyd Mayweather una maneno mengi mno na ni vigumu sana kumzuia asizungumze kitu hususani anapohudhuria matukio mbalimbali, lakini nyota wa Pop Duniani, Rihanna ameweza kumziba mdomo bingwa huyo asiyepigika.
Jana usiku, imefanyika hafla ya kugawa  tuzo za Black Entertainment Television Awards 2015 katika ukumbi wa  Microsoft Theatre mjini California, Marekani, nyota wa R & B, Rihanna ameonekana  amekaa mezi moja na Mayweather, huku akishikilia bandaji nyeusi.
Wakati hafla ikiendelea, Mayweather kama kawaida yake akaanza kumwaga maneno, Rihanna akachukua ile bandeji na kumbandika nayo mdomoni ili akae kimya, hakika watu waliokaa karibu yao wameonekana wakifurahia tukio hilo. 
Rihanna sticks Mayweather's mouth shut with the duct tape to the amusement of the people sat next to them
Rihanna akiziba mdomo wa  Mayweather
Pound-for-pound king Mayweather does not look impressed as he stares at Rihanna
Mayweather anaonekana kutofurahia alivyofanyiwa na  Rihanna

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video