Sunday, June 28, 2015

Manchester United wapo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo wa Southampton, Raia wa Ufaransa, Morgan Schneiderlin.
Nyota huyo mwenye miaka 25 ambaye alijiunga na Watakatifu mwaka 2008 amekuwa akihusishwa kujiunga na Arsenal, lakini Louis van Gaal na Manchester United wanaongoza mbio za kuwania saini yake.
Gazeti la ’Equipe linadai kwamba dili la  kumsajili  nyota huyo kwa dau la Euro milioni 30 limekamilika jana na tangu jana mchana,  mpiga picha rasmi wa Manchester United, Craig Norwood amekuwa mfuasi wa Morgan Schneiderlin katika mtandao wa Twitter.
Mpiga picha huyo pia aliwahi kuwa mfuasi wa Juan Mata aliyesajiliwa kwa paundi milioni 35 na hii ilikuwa siku moja kabla ya kumpiga picha yake ya kwanza akiwa na jezi ya Manchester United.
Hapa chini ni baadhi ya Twitter za mashabiki wa Man United waliojawa na furaha:
Man United's photographer @CraigNorwood has just followed Schneiderlin. Probably been briefed about pictures for the next week announcement.

When @CraigNorwood follows @SchneiderlinMo4 you know it's as good as done!

LRT. Craig Norwood ('s official photographer) followed Mata on Twitter days before he signed. He is now following Morgan Schneiderlin.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video