Wednesday, June 10, 2015

Swansea City wamemsajili mshambuliaji kutoka Ghana Andre Ayew kutoka Marseille. Mchezaji huyo sasa anasubiri kuidhinishwa kwa kibali cha Ligi Kuu ya England na cha kimataifa. 
Ayew, 25, ambaye alikuwa akivutia timu kadhaa za EPL na nyingine za Ulaya, amesaini mkataba wa miaka minne, baada ya mkataba wake kumalizika na klabu yake ya Ufaransa. Ayew atavaa jezi namba 10.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video