Saturday, June 6, 2015


Everton imekubali dili la kumsajil kiungo wa kati wa Manchester United Tom Clevery kwa mkataba wa miaka mitano akitokea  Astorn Villa ambako alikuwa anacheza kwa mkopo wa muda mrefu.

Kiungo huyu mwenye umri wa miaka 25, raia wa Uingereza atajiunga na timu ya Everton Julai 1 mwaka huu chini ya meneja wake Robert Martinez baada ya mkataba wake na Manchester United kuisha mwishoni mwa mwezi huu.

Aidha meneja wa Everton amesema anaamini amesajili mtu ambaye kipaji chake cha uchezaji kinakuja juu kwa sasa.


Ikumbukwe kuwa  Clevery alishafanya  kazi na kocha wa Everton Robrt Martinez kipindi alipokuwa Wigan mwaka 2010-11

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video