Mshambuliaji wa kutumainiwa wa Ndanda Fc, Gideon Benson amesaini kandarasi ya mwaka mmoja na nusu kujiunga na kikosi ch Mbeya City fc kinachonolewa na Juma Mwambusi katika msimu ujaO.
Benson ameweka kando ofa kadhaa alizopata kutoka vilabu mbalimbali vinavyoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara alizopata hapo kabla.
0 comments:
Post a Comment