Saturday, June 13, 2015

FA TV imefanya mahojiano ambayo yamewahusisha wachezaji wawili wanaokaa chumba kimoja katika Hoteli wanayoishi wachezaji wa timu ya taifa ya England,  Phil Jones na Chris Smalling.
Walinzi hao wawili, siku zote wanakaa chumba kimoja wanaposafiri na timu ya taifa ya England na timu yao ya Manchester United.
Inawezekana wanajuana sana?
Chakushangaza, Smalling anajua mengi kuhusu Jones, lakini Jones hajui chochote kuhusu maisha ya rafiki yake.
Smalling amejibu maswali yote kuhusu maisha ya beki mwenzake na kitendo hicho kimemstaabisha Jones kwasababu yeye hajui chochote kuhusu mwenzake.
Tumia dakika chache kutazama video ya mahojiano hayo hapa chini;

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video