Saturday, June 13, 2015

Manchester United wameingia kwenye vita ya kuwania saini ya nyota wa Everton, John Stones wakati huu Louis van Gaal anahitaji kuboresha safu yake ya ulinzi.
Stones amejiimarisha mno kwa misimu miwili iliyopita na kuwa mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Everton.
Msimu uliopita, Stones aliichezea timu yake mechi 29 na hivi sasa yupo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England chini ya miaka 21.
Van Gaal sasa anaona beki huyo wa kimataifa wa England ndio atakuwa nguzo kwenye ngome ya ulinzi na mashetani Wekundu.
Tangu kuondoka kwa Nemanja Vidic na Rio Ferdinand, Man United imeshindwa kuziba mapengo ya walinzi hao waliofanya kazi iliyotukuka Old Trafford.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video