Tuesday, June 16, 2015

Hotel hiyo inayoitwa Hotel Football ipo karibu kabisa  na uwanja wa Old Trafford.
Hotel hiyo ni wazo la kwanza kabisa la Neville na Ryan Giggs lakini baadae wakaja wamiliki wapya kama Phil Neville, Nicky Butt na Paul Scholes na kuanzia nje hadi ndani imekua branded ki-football zaidi.
Kuwa na uhusiano wa ki-football unaipa faida ya kuwa sehemu busy sana siku za mechi na hata kama sio siku za mechi. Ukiingia ndani kuna picha za mag wijiwa soka na pia juu kabisa kuna uwanja wa mpira.
3
Manchester united wanaiona hii ni kama fursa iliyowapita kwasababu asilimia kubwa ya wateja wa hiyo hotel huwa wanakuja kwa ajili ya Old trafford na michezo inayofanyika hapo uwanjani. Lakini mwisho wa siku kuna kundi kubwa la watu ambao huenda kutumia pesa nyingi kwenye hiyo hotel.
Hivi sasa imeripotiwa kwamba wanatamani kuinunua hiyo hotel ili kuweza kukata fursa kwa ukamilifu kuanzia uwanjani hadi hotelini.
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video