Messi akiongea na waandishi wa habari nchini Chile kuelekea kucheza Copa America ambapo ataiwakilisha Chile
SIKU chache baada ya kutwaa taji la Uefa Champions League, zimetoka taarifa mbaya kwa mashabiki wa mshambuliaji wa Barcelona na Argentina, Lionel Messi kwamba atafikishwa mahakamani kujibu
mashtaka ya kukwepa kulipa kodi, baada ya mahakama ya juu ya Hispania kutupilia
mbali rufaa yake.
Messi na baba yake, Jorge,
wanatuhumiwa kutolipa kodi ya Euro milioni 4.1 sawa na Paundi milioni 3 katika
miaka ya 2007, 2008 na 2009.
Mahakama kuu ilisema Messi
asipewe dhamana kwa kisingizio cha kutofahamu uataratibu wa masuala ya fedha
zake pamoja na kodi.
0 comments:
Post a Comment