Sunday, June 7, 2015

Barcelona  walionekana kucheza kwa haraka katika sekunde chache za kwanza kwenye fainali ya Uefa Champions League dhidi ya Juventus na walionesha kujiamini baada ya kufunga goli la timu nzima.
Stori kubwa ni kwamba goli la kwanza la Ivan Rakitic, wachezaji wote 10 wa Barcelona waligusa mpira.
Hata angekuwepo Giorgio Chiellini kwa namna Barca walivyotengeneza move ya goli la kwanza, asingeweza kuzuia.
Soma baadhi ya Tweets za Barcelona hapa chani baada ya kufunga goli la kwanza 
4 - Rakitic's fourth minute opener was the third fastest goal in a after Maldini in 2005 (1) and Mendieta in 2001 (3). Rapid.
No one has played and won the finals of UEFA Cup + Champions Cup in consecutive years with different teams: Rakitic could be the first
That last RT from @FCBarcelona - all ten outfield players had a touch in the move for Rakitic's goal
Well that took a while. Different class.
Rakitic's goal

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video