Saturday, June 6, 2015

Liverpool imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Uingereza,, James Milner kutoka klabu ya Manchester City kwa uhamisho wa bure.
Liverpool tayari imefikia makubaliano binafsi na mchezaji huyo wa miaka 29 atayejiunga Etihad Julai Mosi mwaka huu baada ya kufanyiwa vipimo vya afya.


Milner ambaye ni raia wa Uingereza ameshinda mataji mawili ya ligi ya Uingereza , kombe la FA pamoja na kombe la ligi katika miaka mitano aliyodumu Machester City akitokea Aston Villa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video