Saturday, June 13, 2015

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema lengo la kuandaa michuano ya watoto chini ya 13 inayomalizika leo jijini hapa, ni kushiriki fainali za Michezo ya Olimpiki itakayofanyika jijini Tokyo, Japan.


Akizungumza kabla ya mchezo wa fainali ya michuano hiyo, Malinzi alisema vijana wanaocheza michuano hiyo watakuwa na nafasi ya kucheza timu bora ya taifa ya vijana chini ya miaka 17.


Amesema watapata nafasi ya kushiriki michuano ya mbalimbali ya watoto.
“Mwakani tutaandaa michuano ya watoto chini ya miaka 14. Watatunzwa watakaoteuliwa wenye vipaji na baada ya hapo watakuzwa vizuri ili kuingia kwenye timu hiyo chini ya miaka 17.
“Tunaamini timu ikishiriki Olimpiki, itatuzaidia kushiriki michuano mingine mikubwa kama tutaendelea nao,” alisema.



Katika mechi ya mshindi wa tatu, Kinondoni imeishinda Mara kwa mabao 2-1. Michuano hiyo haina kombe kwa kuwa lengo ni kusaidia kupata timu.

Source: Salehjembe

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video