Friday, June 5, 2015


Kesho ni kesho! wanaume wawili, FC Barcelona na Juventus wanakutana mjini Berlin, Ujeruman katika mechi ya fainali ya Uefa Champions League.
Hebu angalia takwimu hizi za washambuliaji watatu wa Barcelona, Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar, halafu jiulize, Juventus watafanyeje kuwazuia hawa jamaa?

 SAFU KALI ZAIDI YA USHAMBULIAJI:  


                   (Mechi,        Magoli,                Pasi za mwisho 

Lionel Messi:   56,               58,                         27  

Luis Suarez:    42,                24,                         21

Neymar:          50,               38,                          7

Washambuliaji hawa watatu wamefunga magoli 25 kati ya 28 waliyofunga Barcelona kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya msimu huu.

Wamefunga magoli 10 ya Barcelona katika mechi nne za mwisho za Champions league dhidi ya PSG na Bayern Munich.
Neymar amefunga magoli matatu ya mwisho kwenye mechi za Champions league na yote Messi na Suarez walihusika.


Tangu Januari 1, 2015

Messi: Amefunga magoli 34  katika mechi 35 

Suarez: Amefunga  Magoli 21  katika mechi 31 

Neymar: Amefunga Magoli 24  katika mechi 32 

TAKWIMU YA HATARI

Timu tatu pekee katika ligi kubwa tano barani Ulaya ikiiondoa Barcelona, zimefunga magoli zaidi ya Messi, Suarez na Neymar msimu huu.

1. Real Madrid....162 
2. Bayern Munich...123
3. PSG...122
4. MESSI/SUAREZ/NEYMAR...120 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video