Monday, June 1, 2015

Manchester United imevutiwa na kutaka kumsaini mchezaji kiungo wa Southampton Morgan Schneiderlin.
Kiungo huyo wa miaka 25 ni mmoja wa viungo waliocheza vizuri msimu uliomalizika wa Premier League
Timu ya Arsenal na Tottenham zimeonyesha nia ya kupata huduma ya kiungo huyo lakini duru za kimichezo zinatoa nafasi kwa united kumpeleka Old Trafford.
Southampton wamesema thamani ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa ni Euro milioni 25.
Kocha Louis van Gaal anataka kuimalisha nguvu upande wa katikati msimu ujao.
Manchester United inahitaji kiungo wa kariba ya Morgan kuweza kushindana msimu ujao.
Mchezaji Yaya Toure amethibitisha kuendelea kukipiga Manchester City msimu ujao, na anafuraha na heshima kwake kuendelea kuwepo Etihad pamoja na kuwepo na uvumi wa kuhamia timu ya Inter Milan ya Italy.


Kiungo huyo miaka 32 bado anaonekana ana nguvu za kuendelea kukitumikia kikosi hicho kilichomaliza nafasi ya pili katika EPL.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video