Monday, June 8, 2015

Manchester united walifurahi kumpata mchezaji Memphis Depay mwenye miaka 21 kutoka PSV
Zilitoka ripoti kwamba wakala wa Karim Benzema, Karim Djaziri amekutana na mwenyekiti msaidizi wa Manchester United,  Ed Woodward kwenye hotel moja huko London. Habari hiyo ilisema Benzema anahamia Manchester united.
Djaziri alivyokua kwenye mahojiano aliulizwa kuhusu mteja wake kuhamia Manchester united, wakala huyo alicheka na kusema kwamba hajawahi kukutana na mwakilishi wa klabu yoyote ya England zaidi ya kuongea na Real Madrid.”
“Karim anaenda kufanya nini Manchester, ana furaha akiwa ndani ya Madrid. Hataki kuondoka, ataondoka ikiwa Real Madrid wakimwambia aondoke”

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video