Unakumbuka kocha Alan Pardew
aliyeonekana hafai Newcastle, halafu akatua Crystal Palace iliyokuwa inakimbia
kushuka daraja , lakini akaipandisha hadi 10 bora ligi kuu england? sasa kabla
ya kuanza msimu wa 2015-16, ameonekana Mjini Ibiza akila bata, tena akiwa
amezungukwa na warembo lukuki. kweli kazi na dawa....
Wednesday, June 17, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment