Friday, June 5, 2015

Macho ya dunia nzima kesho yatakuwa kwenye mechi ya fainali ya Uefa Champions League kati ya Barcelona na Juventus ambapo timu zote zinatafuta nafasi ya kushinda makombe matatu katika msimu wa 2014/2015 'A historic treble".
Barcelona tayari wameshabeba La Liga na Copa del Rey, wakati nao Juventus wametwaa taji la Seria A na Coppa Italia.
Juventus wameishangaza Ulaya kwa kuwa na timu imara, lakini sasa wana mtihani mgumu wa kuwazuia washambuliaji watatu hatari zaidi duniani, Leo Messi, Luis Suarez na Neymar.
Je, Juventus wanaweza kuwazuia Barcelona? hapa chini ni Vituo vya Televisheni vitavyoonesha moja kwa moja 'LIVE' mechi hiyo ya fainali ya Uefa Champions League kesho...
Can Juventus stop
United Kingdom
United States
Australia
France
Germany
Italy
Spain

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video