Monday, June 29, 2015


Licha ya kutupwa nje ya michuano ya Copa America na timu ya Paraguay, wachezaji wa kikosi cha Brazil walipokelewa kwa shangwe na mashaiki wa nchi hiyo waliojitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kuwalaki wachezaji wao waliokuwa wanarudi kutoka nchini Chilile ambako walitupwa nje ya mashindano hayo kwachangamoto ya mikwaju ya penati na timu ya Paraguay.
Brazil 1Tofauti na ilivyokuwa inanatarajiwa na watu wengi, baada ya kutupwa nje kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa kwenye bara la Amerika ya Kusini, lakini bado mashabiki walijitokeza kwa wingi kuwapokea wachezaji wao na kupiga nao picha ‘selfies’ mara baada ya kutua kwenye ardhi ya kwao.
Brazil 4Robinho, David Luiz, Willian na Dunga wote kwa pamoja ‘wali-post’ kwenye account zao za mitandao ya kijamii picha mbalimbali walizopiga wakiwa na mashabiki mara baada ya kutua jijini Sao Paulo, Brazil.

Brazil 3

Brazil 6

Brazil 5
Brazil 2

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video