Tuesday, June 9, 2015

Alba ajifunga Barcelona
Jordi Alba na Pedro wameongeza mikataba yao katika klabu ya Barcelona.
Mlinzi Alba amesaini mkataba mrefu utakaomalizika Juni 2020, wakati Pedro ameongeza mkataba wake mpaka mwaka 2019.
Barcelona wamethibitisha kuwa mikataba ya wachezaji hao imegharimu Euro milioni 150.
Wanandinga hao wawili walikubali kuongeza mikataba juma lililopita, lakini wamemwaga wino siku ambayo Barca walitangaza kumnasa Alexis Vidal kutoka Sevilla.
Alba alijiunga na Barcelona kutokea Valencia kwa dau la Euro milioni 14 mwaka 2012, wakati Pedro alijiunga na timu ya vijana akiwa na umri wa miaka 17.
Pedro alikuwa akihusishwa kutimka kwa mabingwa hao wa Uefa Champions League kwa lengo la kutafuta timu atakayopata namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza, lakini sasa Mshambuliaji huyo ataendelea kubaki Barcelona ambapo ameshinda makombe matano ya La Liga na mataji matatu ya Uefa Champions League.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video