Steven Gerrard anafurahia maisha katika fukwe za kisiwa cha Ibiza Hispania kabla ya kurudi kwenye majukumu ambapo atajiunga na La Galaxy ya Marekani.
Kiungo huyo wa zamani wa Liverpool ataanza kucheza ligi ya Marekani katikati ya mwezi Julai baada ya kuondoka Anfield alipocheza kwa miaka 17.

Gwiji wa Liverpool akiwa busy na simu yake wakati akimsubiri mke wake, Alex aungane naye


Jumatatu ya wiki hii, Gerrard ameadhimisha miaka 8 ya ndoa na mke wake Alex

Nahodha huyo wa zamani wa England alisalimiana na mashabiki wake wengi
0 comments:
Post a Comment