Sunday, June 28, 2015

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Zesco United ya Zambia, Juma Ndanda Liuzio amesema yeye haamini maneno bali anaamini Vitendo.
Kauli hii ya straika huyu wa zamani wa Mtibwa Sugar mwenye kipaji cha hali ya juu inamaanisha kwamba maneno kwake hayana maana zaidi ya kuonesha mambo yake kwa vitendo ikiwemo soka.

 Liuzio ametuambia maneno haya asubuhi hii kupitia mtandao wa kijamii wa facebook:

Siamini maneno,naamin vitendo💪😷
‪#‎footballismylife‬
‪#‎Godfirst‬
‪#‎ramadhan_kareem‬🌒🌙

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video