Tuzo za Kilimanjaro Music Awards zimefanyika usiku wa jana.
Kinara wa Tuzo hizi akiwa ni Ali Kiba aliechukua Tuzo tano, huku mpinzani wake Diamond akichukua tuzo mbili tu.
Ifuatayo ni list ya wasanii walioshinda katika tuzo hizi....
Kikundi bora cha mwaka - Yamoto Band.
Kikundi bora cha Taarab - Jahazi Modern Taarab.
Bendi bora ya mwaka - Fm Academia.
Wimbo bora wa kushirikiana - Mwana Fa Ft Ali Kiba - Kiboko
yangu,
Msanii bora anaechipukia - Baraka Da Prince.
Wimbo bora wa mwaka wenye vionjo vya asili - Mrisho mpoto -
Waite.
Wimbo bora wa zouk au Rumba - Diamond - Ntampata wapi.
Wimbo bora wa AfroPop - Ali Kiba Mwana.
Video bora ya mwaka - Diamond
Mdogo Mdogo.
Mtayarishaji bora wa mwaka bendi - Amoros.
Mtayarishaji bora wa mwaka Taarab - Enrico.
Mtayarishaji bora wa mwaka Bongo Fleva - Nah Reel
Mtunzi bora wa mwaka hip hop - Joh Makini.
Mtunzi bora wa mwaka bendi - Jose Mara.
Mtunzi bora wa mwaka Bongo Fleva - Ali Kiba.
Mtunzi bora wa mwaka taarabu - Mzee Yusuph
Wimbo bora wa Afrika Mashariki - Sauti Sol Sura yako.
Msanii bora wa hip hop - Joh Makini.
Rapa Bora wa mwaka bendi - Ferguson.
Msanii bora wa Reggae and Dance hall - Maua Sama.
Wimbo bora wa Hip Hop - Proffesor Jay Ft Diamond - Kipi
Sijasikia.
Wimbo bora wa R&B - Jux Sisikii.
Wimbo bora wa kiswahili bendi - Vijana wa ngwasuma Wale
Wale.
Wimbo bora wa mwaka - Ali Kiba Mwana.
Wimbo bora wa Taarabu - Isha Mashauzi - Mapenzi hayana
dhamana.
Muimbaji wa kiume bendi - Jose Mara.
Muimbaji bora wa kike Taarabu - Isha Mashauzi.
Muimbaji bora wa kiume Taarabu - Mzee Yusuph.
Muimbaji bora wa kike Bongo Fleva - Vannesa Mdee.
Muimbaji bora wa kiume Bongo Fleva - Ali Kiba.
Mtumbuizaji bora wa kike - Vannesa Mdee
Mtumbuizaji bora kiume - Ali Kiba.
0 comments:
Post a Comment