Ushindi wa magoli 3-2 waliopata England jana dhidi ya Slovenia kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Ulaya (Euro 2016) umewafanya wamalize msimu bila kufungwa na kwa mara ya kwanza kufanya hivyo ni msimu wa 1990-91. Magoli ya wenyeji Slovenia yalifungwa Milivoje Novakovic, Nejc Pecnik wakati mabao ya England yalifungwa na Jack Wilshere (Mawili) na Wayne Rooney. MATOKEO YA MECHI ZOTE KUWANIA KUFUZU EURO 2016 HAYA HAPA;
0 comments:
Post a Comment