DE GEA ANUKIA REAL MADRID, AWEKA SOKONI NYUMBA ANAYOISHI MANCHESTER Taratibu mambo yanaanza kuwa hadharani kwamba kweli kipa David De Gea atakwenda Real Madrid. Kwani nyumba anayoishi tayari imewekwa sokoni kwa pauni milioni 2.8. Hiyo ni dalili tosha kwamba De Gea anaondoka kweli kwa kuwa makazi yake yanauzwa.
0 comments:
Post a Comment