Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana ameifungia timu yake ya taifa ya Ureno magoli matatu 'hat-trick' katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Armenia kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Ulaya (Euro 2016).

Ronaldo alifunga magoli yake dakika ya 29, 55, 58, wakati magoli ya Armenia yalifungwa na Marcos Pizzelli 14, Hrayr Mkoyan 71 .

Ujerumani imefanya maangamizi kwa kuitanda 7-0 Gibraltar katika mechi ya kundi D ya kuwania kufuzu Euro 2016.
MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA KUWANIA KUFUZU EURO 2016 HAYA HAPA CHINI
June 13
June 13
June 13
FT
0 comments:
Post a Comment