Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza, klabu ya Chelsea, inatarajia kutumia uwanja wa
Wembley kwa muda kupisha marekebisho uwanja wao wa Stamford Bridge.
Chelsea itapewa Wembley kama itakidhi vigezo vilivyotolewa na uongozi
husika wa uwanja huo ikiwemo kuhakikisha mashabiki watakao ingia uwanjani hawapungui elfu 50 ili wasitofautiane
katika .
Mchakato wa marekebisho ya Stamford Bridge yalianza
mwaka mmoja uliopita chini ya mmiliki wa klabu hiyo Roman Ibramovich , lengo
kuu likiwa ni kuongeza viti ili kuruhusu mashabiki wengi kuingia na kuongeza
mapato tofauti na ilivyo sasa unaingiza
mashabiki elfu 41 tu.
0 comments:
Post a Comment