Tuesday, June 9, 2015


Siku mbili tu baada ya kutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya, Barcelona imeendelea na usajili baada ya kumnasa beki wa Sevilla, Aleix Vidal.

Baada ya kukamilisha usajili huo, Vidal ametambulishwa katika uwanja wa nyumbani wa Barcelona, Camp Nou.

Sevilla ambao ni mabingwa wa ligi ya Europa, wamekubali kumuachia beki huyo mwenye miaka 25, hata hivyo atalazimika kusubiri hadi Januari, mwakani kuichezea timu yake mpya.


Barcelona bado inatumikia adhabu ya Fifa ya usajili hadi mwakani. Hivyo Vidal atakuwa pamoja na timu hiyo, lakini ataonekana uwanjani na Barcelona, mwakani.


Xavi Hernandez, Dani Alves wameshatangaza kuondoka Barcelona majira ya kiangazi mwaka huu, wakati naye kocha mkuu, Luis Enrique ana mashaka na kibarua chake.

Vidal ametwaa kombe la Europa akiwa na Sevilla msimu huu


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video