Friday, June 5, 2015


FC Barcelona wameliondoa jina la Luis Figo kwenye orodha ya kikosi chao cha magwiji wa klabu hiyo kitakachopepetana na magwiji wa Juventus kesho jumamosi kabla ya mechi ya fainali ya Uefa Champions League itayopigwa mjini, Berlin, Ujeruman.
Figo alialikwa na UEFA kuiwakilisha Barcelona na baada ya Barca kugundua hilo wamelitoa jina lake.
KWANINI?
Kwasababu Figo hachukuliwi kama gwiji Camp Nou wakidai aliondoa heshima hiyo baada ya kujiunga na wapinzani wakubwa wa Barcelona, Real Madrid.
Figo alianza kujiimarisha kuwa gwiji Barcelona katika miaka mitano aliyokaa Camp Nou, lakini kuondoka kwake kuliharibu kila kitu.
Alipoondoka Barcelona na kujiunga na Real Madrid, hakuheshimika tena Katalunya na alipokuwa anarudi kucheza mechi za El Clasico, mashabiki walikuwa wanampokea kwa hasira.
Figo alichukuliwa kama msaliti kwa Barcelona, alienda kwa wapinzani wao wa jadi, Madrid, ambapo alishinda makombe ya Uefa champions League.
Barcelona wame-tweet
As UEFA informs us, by request of our Club, Luis Figo will not represent Barça in the Legends match in Berlin

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video