Arsenal wamezindua jezi mpya za Puma ambazo watatumia uwanja wa nyumbani kwa msimu wa 2015/2016.
Jezi hizo zimezinduliwa katika uwanja wa Emirates kwa kumhusisha gwiji wa klabu hiyo, Thierry Henry na baadhi ya wachezaji wa sasa wa The Gunners.
Jezi hizo zenye rangi nyekundu na nyeupe zimezinduliwa baada ya Puma kuanza kutekeleza mkataba wa paundi milioni 30 kwa mwaka walioingia na Arsenal mwaka jana.
Welbeck, akizungumza na Gwiji wa Arsenal, Thierry Henry wakati wa uzinduzi wa jezi mpya
Nyota watano wa Arsenal wakiwa wamepozi katika picha wakati wa uzinduzi wa jezi mpya za nyumbani ambazo zitaanza kuuzwa Juni 25 mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment