Wednesday, June 10, 2015

GAZETI maarufu la Hispania la Marca leo limechapisha kikosi chao bora cha wachezaji vijana barani Ulaya kwa msimu uliopita wa 2014/2015 ambapo wachezaji wanne wa ligi kuu England wameingia katika orodha.
Mchezaji wa Tottehham, Harry Kane anaongoza orodha ya washambuliajo, wakati John Stones wa Everton ndiye roho ya ulinzi kwenye kikosi hicho, huku Francis Coquelin na Hector Bellerin wa Arsenal nao wakijumuishwa.
Kitu cha kuvutia ni kwamba; hakuna mchezaji yeyote kutoka ligi kuu ya Hispania, La Liga, wakati ligi ya Italia, Seria A imeingiza wachezaji wengi. 
 Bundesliga ya Ujerumani imeingiza wanandinga wawili, wakati wachezaji wa mwisho wametoka ligi ya Ufaransa, Ligue 1.
Wachezaji wengi walioingia kwenye kikosi hiki wanatarajia kucheza michuano ya Ulaya ya vijana chini ya umri wa miaka 21 inayoanza kutimua vumbi wiki ijayo mjini Prague.
Timu ya taifa ya vijana ya Ujerumani ndio inapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa, ikifuatiwa na England na Ureno.
Kikosi bora cha vijana cha ulaya msimu wa 2014/2015 kilichotajwa na The Marca hiki hapa chini
Timo Horn; Hector Bellerin, Daniele Rugani, John Stones, Baba Rahman; Mirko Valdifiori, Francis Coquelin; Felipe Anderson, Paulo Dybala, Nabil Fekir; Harry Kane
Kabla hujauliza, hatuna majibu kivini na kwanini mchezaji mwenye miaka 29, Mirko Valdifiori ameingia kwenye orodha ya  Marca!?

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video