Friday, June 5, 2015

Ajax wametoa video inayoonesha ufundi wa mchezaji wao wa zamani,  Luis Suarez wakati wanajadili mechi ya fainali ya kesho ya Uefa Champions League.
Timu hiyo ya Uholanzi imepata video ya kumbukumbu ya nyota huyo wa Barcelona ambaye aliwahi kucheza Amsterdam Arena.
Video hiyo inaonesha ufundi wa Suarez wa kuchezea mpira kipindi hicho akiwa Uholanzi.
Luis Suarez anatarajia kuicheza fainali ya Uefa kesho dhidi Juventus kwenye uwanja wa Olympiastadion, mjini Berlin.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video