Monday, June 8, 2015

David Luiz na Thiago Silva wamekuwa marafiki tangu walipokuwa wadogo hadi leo,  sasa hawa watoto wawili ni kivutio kikubwa sana tangu mwaka jana wakati wa kombe la dunia.
Siku ya mechi ya Mexico dhidi ya Brazil ambapo Brazil ilishinda 2-0 ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na mashindano ya Copa America , watu wengi walivutiwa na watoto wawili  wanaofanana sana na David na Thiago.
Majina yao ni Lyan na Murilo na waliingia kama watoto wanaosindikiza timu kuingia uwanjani. 
Hivi sasa watoto hao ni maarufu sana huko Brazil na picha zao zinasambaa kwenye internet watu wakisema kwamba ni watoto wa David na Thiago.
2
3

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video