Mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich leo anatarajia kuanika hadharani bajeti na mipang yote ya ujenzi wa Stamford Bridge mpya.
Abramovich anataka kupanua uwanja huo ili uwe na uwezo wa kuchukua watazamaji elfu sitini (60,000).
Roman Abramovich ameonekana kutokuwa na mpango wa kuondoka Stamford Bridge kwani anataka kushusha bonde la uwanja.
Hii ndio ramani ya uwanja mpya utakaochukua watazamaji elfu sitini kutoka elfu 42 wa sasa.
0 comments:
Post a Comment