Sunday, May 17, 2015

BAADA ya mechi ya ufunguzi ya Cosafa baina ya Namibia na Shelisheli kumalizika kwa suluhu (0-0) leo , kwenye mchezo wa Pili Zimbabwe waliichapa Mauritius 2-0.
Magoli ya Zimbabwe yalifungwa dakika ya 28' na Carlos Rusere na  Ronald Chitiyo dakika ya 66'.
 COSAFA CUP, ambayo ilianzishwa Mwaka 1997, Mwaka huu inashirikisha Nchi 14 zikiwemo Tanzania na Ghana kama Wageni Waalikwa.
Kesho majira ya saa 2:30 usiku kwa saa za Tanzania, Taifa Stars itakabiliana na Swaziland.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video