Friday, May 1, 2015

Kocha wa klabu ya Manchester City Manuel Pellegrin amesema kuwa Kiungo Yaya Toure atakosekana katika mechi dhidi ya Tottenham Hotspurs itakayopigwa keshokutwa jumapili White Hart Lane kufuatia mchezaji huyo kuwa majeruhi.
Toure alitolewa katika mechi ya wiki iliyopita dhidi Astonvilla kufuatia kusumbuliwa na maumivu ya nyama za paja.
"Toure hatacheza mechi ya keshokutwa na pia atakosa mechi dhidi ya Qpr wiki ijayo. Kompany pia hatocheza keshokutwa ila wiki ijayo atakuwa yupo fiti " alisema Pellegrin.
Machester City imeshindwa kuutetea ubingwa wa ligi kuu baada ya kuboronga katika mechi za hivi karibuni huku Chelsea wakiwa wamebakisha pointi 3 kuchukua ubingwa huo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video