Wednesday, May 20, 2015


BONGO MOVIE YANGA AFRICAN BRANCH; Hili ni tawi jipya linaloisapoti klabu ya Yanga, mabingwa wapya wa ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015.

     kwa sasa tawi hili ndio limeanzishwa na tayari lina viongozi wa muda ambao wataliongoza  kwa muda pia ili liweze kufikia malengo yake na ya klabu ya Yanga kufika mbalii zaidi
Kundi ili linaongozwa na viongozi wa muda ambao ni
Mwenyekiti wa tawi.....Mike Sangu
Makamu mwenyekiti....Catty Lupia
Katibu mkuu..............Jimmy Mafufu
Mtunza fedha..............Mayasa Mrisho

Kundi hili lina wanachama wengi sana ambao ni wafanyakazi wa kiwanda cha filamu kwa namna moja au nyingine yaani na wadau wa filamu wamo;

Wanachama ni;
Vincent kigosi 'Ray', Irene Uwoya, Mariamu Ismail, Barafu Suleiman , Saguda George, Haji Mboto, Haji Adam, Chopamchopanga, Jimmy mafufu (katibu mkuu),
Lissa Stella , Issa Mussa (Claud), Dullu Mngullu, Idrissa Makupa...Mr. kupa, Catthy Lupia (makamu mwenyekiti), Mayasa Mrisho (Mtunza fedha),
Stanley msungu, Mr Mo, Mike Sangu (mwenyekiti),
Stella Nadya , Jini Kabula, Steve Nyerere , Marry Mawigi , Zahoro China  na Badra

Na bado orodha  ni kubwa sana na hata baadhi ya wanamuziki wa dansi wamo pamoja na bongo flevar.
Mengi tutawajuza kadili mambo yatakavyokuwa yanakwenda na lini kikao cha pamoja kitakaa.

By katibu mkuuu
    Jimmy Mafufu

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video