Friday, May 1, 2015


 Simon Msuva, kinara wa magoli ligi kuu soka Tanzania bara ambaye ana magoli 17 mpaka sasa akifuatiwa na Amissi Tambwe mwenye mabao 14 akipunga upepo hotelini kwao mjini Sousse Tunisia baada ya kula.
Nyota huyo mwenye kasi anatarajia kuiongoza Yanga katika mechi ya kesho ya marudiano hatua ya 16 bora ya kombe la Shirikisho dhidi ya Etoile du Sahel itakayoanza saa 3:00 usiku kwa saa za Tanzania.
Mechi ya kwanza Dar es salaam timu hizo zilitoka sare ya 1-1. 
Vijana wakipunga upepe kwenye bwawa la kuogelea Hotelini kwao
Baada ya kunywa chai wakawa wanabadilishana mawazo

Mcheki Andrey Coutinho (wa pili kulia) alivyofurahi, Etoile watapona kesho?

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video