Tuesday, May 19, 2015

MKUU wa kitengo cha masoko cha Mbeya City Fc,  Joseph Semu amewataka mashabiki wa  timu hii kuendelea kuisapoti timu yako kwa kununua bidhaa mbalimbali ambazo bado zinapatikana makao makuu ya club yaliyopo  Mkapa Hall jijini Mbeya.
Semu  amesema kuwa wakati huu ambao ligi imesimama si vibaya kwa mashabiki kuendelea kuisapoti timu yao kwa kununua bidhaa hizo ili kusaidia upatikanaji wa fedha kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.
“Ligi imesimama hivi sasa, ofisini kwetu bado tunazo bidhaa kadhaa kama Kalenda, vitabu vya kumbukumbu (diary) na Sweta  ambazo bado ziko nyingi, hili litakuwa jambo jema kwani itatusaidia kupata fedha za maandalizi ya msimu mpya, kwa walio karibu na mbeya ni rahisi kufika na kwa walio nje ya jiji wanaweza kupiga namba 0713216125 na kupata maelekezo”. amesema.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video