Thursday, May 21, 2015

Pierre Nkurunziza  amepata umaarufu mkubwa kutokana na matatizo ya kisiasa yanayoendelea kwao Burundi. Warundi wengi wanampinga rais huyo kugombea tena kwa muhula wa tatu, na siku za karibuni akiwa jijini Dar es salaam ilitangazwa kwamba amepinduliwa, lakini jaribio hilo likashindikana.
Licha ya kuwa na kiburi cha kisiasa, Nkurunziza pia ni fundi wa soka. Hizi picha zimesambaa hivi karibuni zikionesha rais huyo akisakata kabumbu. 
Mcheki jamaa akituliza kifuani na kupiga shuti kuelekea wavuni
IMG-20150521-WA0069

IMG-20150521-WA0070
IMG-20150521-WA0071

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video