LEO tunaungana na Rio Ferdinand baada ya kupokea habari mbaya kwamba mke wake Rebecca Ellison amefariki dunia katika umri wa miaka 35 kutokana na maradhi ya kansa yaliyomsumbua kwa muda mfupi.
Wanandoa hao wamezaa watoto watatu wanaoitwa Lorenz, Tate na Tia.
Habari hizi zimemdhoofisha Ferdinand wakati huu mgumu wa ligi kuu soka England.
Everybody's thoughts at #mufc are with Rio Ferdinand today, whose wife sadly passed away last night.
Klabu yake ya zamani Manchester imeposti katika mtandao wake wa Twita ikisema klabu ipo pamoja na Rio Ferdinand ambaye mke wake kwa huzuni kubwa amefariki dunia usiku wa jana. Ujumbe unasomeka hapo juu.
Mlinzi huyo wa kati wa zamani wa Manchester United na England ametoa tamko kwenye tovuti rasmi ya klabu yake ya sasa QPR akisema:: “My soul mate slipped away last night. Rebecca, my wonderful wife, passed away peacefully after a short battle with cancer at the Royal Marsden Hospital in London.
“She was a fantastic loving mother to our three beautiful children. She will be missed as a wife, sister, aunt, daughter and granddaughter. She will live on in our memory, as a guide and inspiration.
“Myself, my parents Janice and Julian, along with Rebecca’s parents Lesley and Stephen, would like to thank our families, friends and my club colleagues who have rallied around in these desperate days, weeks and months.
“I would also like to express my gratitude for the dedication and expertise of the staff led by Professors Johnstone and Clarke at the Royal Marsden. Their valiant efforts to prolong Rebecca’s all-too-short life will not be forgotten.
“Our grief, as a family, is total. We would appreciate being allowed to mourn privately.”
0 comments:
Post a Comment