Saturday, May 16, 2015

Barcelona wamempoteza 'Messi wao wa Japan' mwenye miaka 13, Takefusa Kubo baada ya kumuuza kinda huyo katika klabu ya  FC Tokyo.
Kubo ameonesha kiwango kikubwa katika kikosi cha vijana  cha Barcelona tangu alipojiunga na klabu hiyo mwaka 2011, lakini kutokana na Barca kufungiwa usajili wa wachezaji vijana baada ya kuvunja sheria wamelazimika kumuuza kijana huyo.
Arsenal waliripotiwa kumuwinda kinda huyo wa Japan, lakini FC Tokyo wameshinda dili hilo.
Hata hivyo, bado Kubo could anaweza kurudi Barcelona atakapofikisha miaka 18.
Stori hii imetoka SO Foot)
Mcheki dogo pichani chini

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video